Podcast: Play in new window | Download
Kaa nami ni usiku sana
usiniache gizani Bwana
Msada wako haukomi
nili peke yangu kaa nami.
Siku zetu hazikawi kwisha
sioni la kunifurahisha
hakuna ambacho hakikomi
usiye na mwisho kaa nami
Amagambo:
Kaa nami yesu Nakuhitaji usiku na mchana. Haja ya moyo wangu ni kwamba nikae na wewe milele nitembee na wewe nikule na wewe, kila wakati BwanaGusa maisha yangu..
Nina haja nawe kila saa
sina mwingine wa kunifaa
mimi nitaongozwa na nani
ila wewe Bwana Kaa nami
Sitii neno kuwapo karibu
nipato lolote si tambu
kifo na kaburi haviumi
nitashinda kwako kaa nami
Nilalapo nikuone wewe
gizani mote nimurikie
nuru za mbinguni hazikomi
siku zangu zote kaa nami








Asante sana kutwumvisha iyindirimbo ya ANGELA!!
Like or Dislike:
1
0
Amen! Imana ihabwe icyubahiro
Like or Dislike:
0
0